
Bondia hatari zaidi kuwahi kutokea duniani, Mike Tyson akiwa na mwandishi wa ndondi wa Sportsmail, Jeff Powell

Big George: Foreman, bingwa wa zamani wa uzito wa juu duniani akiwa na Jeff


Jeff na magwiji: Akiwa na mabingwa wa zamani wa uzito wa juu, Nikolai Valuev na Lennox Lewis kulia

Wafalme wa sasa: Wladimir na Vitali Klitschko

Akiwa na The Hitman: Akizungumza na Ricky Hatton kabla ya pambano lake la kumrejesha ulingoni Novemba

Akipeperusha bendera na King: Akiwa na promota gwiji9 wa ndondi duniani, Don King

The Cobra: Jeff akizungumza na Carl Froch, bingwa wa dunia wa Super Middle

Wakati wa furaha: Jeff amekuwa akiandika habari za David Haye kwa muda wote wa bondia huyo ulingoni


.png)