• HABARI MPYA

    Monday, April 01, 2013

    CHEKI MAN UNITED WALIVYO TAYARI TAYARI KWA AJILI YA CHELSEA LEO


    Tazama wachezaji wa Manchester United walivyowasili London jana tayari kwa mchezo wao wa leo wa Robo Fainali ya Kombe la FA dhidi ya Chelsea kwenye Uwanja wa Stamford Bridge. 
    Roll up: Robin van Persie and his Manchester United team-mates took the journey to London
    Kamili kamili: Robin van Persie na wachezaji wenzake wa Manchester United wakiwasili London
    All smiles: Rio Ferdinand is likely to be back in the team to take on Chelsea in the FA Cup replay
    Wote tabasamu: Rio Ferdinand anatarajiwa kurejea uwanjani leo dhidi ya Chelsea katika mchezo huo wa marudio wa Kombe la FA
    Chris Smalling
    Phil Jones
    Mitoto midogo: Chris Smalling (kushoto) na Phil Jones (kulia) wote wanaweza kucheza dhidi ya Chelsea leo 
    Nani
    Javier Hernandez
    Washambuliaji hatari: Javier Hernandez na Nani (kushoto)
    Michael Carrick
    David de Gea
    Watu tishio: Michael Carrick (kushoto) na David de Gea (kulia) 
    Boss man: Sir Alex Ferguson led his players
    Wing man: Antonio Valencia
    Winga: Antonio Valencia (kulia) akishuka kwenye gari katika eneo la maegesho wakati wa kuondoka wa Manchester. Kushoto ni Sir Alex Ferguson
    FERDINAND TWEET
    Danny Welbeck
    Tom Cleverley
    Watu muhimu: Wote Danny Welbeck (kushoto) na Tom Cleverley (kulia) walikuwa katika kiwango kizuri walipocheza na Real Madrid mwezi uliopita
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments
    Item Reviewed: CHEKI MAN UNITED WALIVYO TAYARI TAYARI KWA AJILI YA CHELSEA LEO Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top