• HABARI MPYA

    Friday, April 19, 2013

    MAN CITY NA WEST HAN ZAANDAA KUMBUKUMBU YA KIFO CHA FOE APRILI 27 ENGLAND


    MASHABIKI wa klabu za Manchester City na West Ham wamepanga kumpa heshima kiungo Marc-Vivien Foe, aliyefariki dunia miaka 10 iliyopita, wakati timu hizo zitakapokutana Aprili 27, mwaka huu.
    Kiungo huyo wa Cameroon alizimia kwenye mechi ya Nusu Fainali ya Kombe la Mabara dhidi ya Colombia Juni 26, mwaka 2003 kabla ya kufariki dunia muda mfupi baadaye akiwa na umei wa miaka 28.
    Foe, ambaye pia alizichezea Lens na Lyon za Ufaransa, alifariki kutokana na matatizo ya moyo kama ambayo yalitaka kuuchukua uhai wa kiungo wa Bolton, Fabrice Muamba aliyezimia uwanjani mwaka jana. 
    Shukrani Muamba aliepuka kifo, lakini baadaye akaamua kustaafu soka.
    Marc-Vivien Foe at West Ham
    Marc-Vivien Foe with Robbie Fowler
    Kioo: Marc-Vivien Foe aliichezea West Ham (kushoto) kabla ya kupelekwa kwa mkopo Manchester City (kulia) 
    In action: Marc-Vivien Foe (left) tackles Juan Sebastian Veron in a Manchester derby
    Kazini: Marc-Vivien Foe (kushoto) akipambana na Juan Sebastian Veron wa Man United akiwa Manchester
    Much loved: Foe hugs fellow new boy Paolo Di Canio at West Ham in January 1999
    Upendo wa hali ya juu: Foe akimkumbatia mchezaji mpya wakati Paolo Di Canio West Ham Januari 1999

    West Ham ilimsajili Foe kwa Pauni Milioni 4.2 mwaka 1999 kabla hajarejea Ufaransa kujiunga na Lyon mwaka 2000. Baadaye alijiunga na City kwa mkopo mwaka 2002 na akaifungia mabao tisa. Alikuwa mchezaji wa mwisho kufunga kwenye Uwanja wa City wa zamani, Maine Road.
    Tangu kifo chake, klabu hiyo iliacha kuitumia jezi namba 23 ambayo alikuwa akiivaa Foe.
    Fans favourite: Foe (right) was loved by both West Ham (above) and City fans during his time in England
    Kipenzi cha mashabiki: Foe (kulia) alikuwa kipenzi cha mashabiki wote West Ham (juu) na City nchini England
    Goalscoring touch: Foe rounds Aston Villa keeper Peter Enckelman to help City to a 3-1 win at Maine Road
    Goalscoring touch: Foe rounds Aston Villa keeper Peter Enckelman to help City to a 3-1 win at Maine Road
    Tragedy: Foe died after collapsing during an international match for Cameroon against Colombia
    Janga: Foe alifariki katika mchezo kati ya Cameroon na Colombia
    Tragedy: Foe died after collapsing during an international match for Cameroon against Colombia
    Distressing: Colombian Jairo Patino rushes to Foe's aid as he lies on the floor
    Masikini: Mchezaji wa Colombia, Jairo Patino akimuwahi Foe baada ya kuanguka uwanjani
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments
    Item Reviewed: MAN CITY NA WEST HAN ZAANDAA KUMBUKUMBU YA KIFO CHA FOE APRILI 27 ENGLAND Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top