KLABU ya Paris Saint-Germain imefanikiwa kuingia Robo Fainali ya Ligi ya Mabingwa Ulaya usiku wa jana, baada ya kuitoa Valencia ya Hispania, kufuatia sare ya 1-1 kwenye Uwanja wa Parc des Princes, hivyo kufuzu kwa ushindi wa jumla wa mabao 3-2.
VIKOSI, WAFUNGAJI...
Paris Saint-Germain: Sirigu, Thiago Silva, Alex, Maxwell, Matuidi, Chantome, Jallet (Van der Wiel 27), Motta (Gameiro 58), Lucas (Sakho 83) Moura, Lavezzi, Pastore
Benchi: Douchez, Camara, Armand, Beckham
Mfungaji: Lavezzi dk66
Kadi ya njano: Lavezzi
Valencia: Guaita, Cissokho, Barragan, Ruiz, Mathieu, Albelda (Banega 46), Feghouli (Piatti 63), Parejo, Facundo Costa, Jonas (Valdez 76), Soldado
Benchi: Diego Alves, Joao Pereira, Guardado, Canales
Kadi za njano: Ruiz, Albelda, Soldado, Parejo
Mfungaji: Jonas 55
Refa: Milorad Mazic

Ezequiel Lavezzi akiifungia PSG bao la kusawazisha kabla ya kupewa kadi ya njano kwa kuvua jezi kushangilia


Lavezzi akionyesha tattoo zake, ikiwemo ya Yesu na Diego Maradona

David Beckham akishangilia kwenye benchi baada ya Lavezzi kusawazisha

Beckham akipasha kuingia uwanjani kuichezea Paris Saint-Germain

Nahodha huyo wa zamani wa England alipiga mipira kadhaa ya adhabu


.png)