Jadon Sancho akishangilia baada ya kuifungia Borussia Dortmund mabao mawili dakika ya 63 na 74 katika ushindi wa 5-0 dhidi ya Fortuna Dusseldorf kwenye mchezo wa Bundesliga jana Uwanja wa Signal-Iduna-Park mjini Dortmund. Mabao mengine yalifungwa na Marco Reus mawili pia dakika za 42 na 70 na Thorgan Hazard dakka ya 58 PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Watch: Lille midfielder Ethan Mbappe shown red card for ugly elbow
-
Ethan Mbappé was shown a red card in Lille's Champions League match against
Real Betis on Tuesday.
2 weeks ago



.png)
0 comments:
Post a Comment