Mshambuliaji Mfaransa, Karim Benzema akikimbia kushangilia baada ya kuisawazishia Real Madrid dakika ya 90+5 katika sare ya 1-1 na wenyeji, Valencia iliyotangulia kwa bao la Carlos Soler dakika ya 78 kwenye mchezo wa La Liga usiku wa jana Uwanja wa Mestalla. Matokeo hayo yanamaanisha Real Madrid inaendelea kulingana kwa pointi na mabingwa watetezi, Barcelona 35 kila timu baada ya mechi 16, ingawa wanazidiwa wastani wa mabao tu kuelekea El Clasico usiku wa Jumatano PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Watch: Lille midfielder Ethan Mbappe shown red card for ugly elbow
-
Ethan Mbappé was shown a red card in Lille's Champions League match against
Real Betis on Tuesday.
2 weeks ago



.png)
0 comments:
Post a Comment