Kevin De Bruyne akishangilia baada ya kuifungia Manchester City bao la pili dakika ya 82 akitoka kumpasia Sergio Aguero kufunga la kwanza dakika ya 52 katika ushindi wa 2-0 dhdi ya Sheffield United kwenye mchezo wa Ligi Kuu ya England jana Uwanja wa Etihad PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Watch: Lille midfielder Ethan Mbappe shown red card for ugly elbow
-
Ethan Mbappé was shown a red card in Lille's Champions League match against
Real Betis on Tuesday.
2 weeks ago



.png)
0 comments:
Post a Comment