Kinda wa miaka 17 wa Guinea-Bissau Ansu Fati akipongezwa na wenzake baada ya kuifungia Barcelona bao la pili dakika ya 86 ikiwalaza wenyeji, Inter Milan 2-1 katika mchezo wa Kundi F Ligi ya Mabingwa Ulaya usiku wa jana Uwanja wa Giuseppe Meazza mjini Milan akiweka rekodi ya mchezaji mwenye mdogo zaidi kufunga kwenye michuano hiyo kihistoria. Bao la kwanza la Barca ambayo kwa ushindi huo inatinga hatua ya 16 Bora ikiungana naBorussia Dortmund, lilifungwa na Carles Perez dakika ya 23, wakati la wenyeji lilifungwa na Romelu Lukaku dakika ya 44 PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Everton 0-1 Arsenal: Mikel Arteta marks six-year anniversary with
significant win as Viktor Gyokeres gets confidence-boosting winner - but
Gunners face tough road ahead with Man City hot on their tail
-
IAN HERBERT: It was six years this week that Mikel Arteta, his appointment
as Arsenalmanager imminent, sat in the directors' box at Evertonto observe
the s...
1 hour ago



.png)
0 comments:
Post a Comment