Mshambuliaji wa Juventus, Cristiano Ronaldo akipongezwa na wenzake baada ya kufunga bao la kwanza dakika ya 75 katika ushindi wa 2-0 dhidi ya wenyeji, Bayer Leverkusen kwenye mchezo wa Kundi D Ligi ya Mabingwa Ulaya usiku wa jana Uwanja wa BayArena. Bao la pili lilifungwa na Gonzalo Higuain dakika ya 90 na ushei. Juve imeongoza kundi hilo kwa pointi zake, ikifuatiwa na Atletico Madrid iliyomaliza na pointi 10 baada ya ushindi wa 2-0 dhidi ya Lokomotiv Moscow jana PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Pyres, Screams and Light: Here are the Best Albums of 2025
-
Join us for Euronews Culture's countdown to our favourite album of the
year. How many have you heard?View on euronews
36 minutes ago



.png)
0 comments:
Post a Comment