Mshambuliaji Alexandre Lacazette (kulia) akifurahia na mwenzake, Bukayo Saka baada ya kuifungia tmu hiyo bao la kwanza dakika ya78 katika sare ya 2-2 na wenyeji, Standard Liege kwenye mchezo wa Kundi F UEFA Europa League. Bao la pili la Arsenal lilifungwa na Saka dakika ya 81, wakati ya Standard Liege yalifungwa na Samuel Bastien dakika ya 47 na Selim Amallah dakika ya 69 PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Watch: Lille midfielder Ethan Mbappe shown red card for ugly elbow
-
Ethan Mbappé was shown a red card in Lille's Champions League match against
Real Betis on Tuesday.
2 weeks ago



.png)
0 comments:
Post a Comment