Philippe Coutinho akishangilia baada ya kuifungia Bayern Munich bao la tatu dakika ya 64 katika ushindi wa 3-1 dhidi ya Tottenham Hotspur jana Uwanja wa Allianz Arena mjini Munich kwenye mchezo wa Kundi B Ligi ya Mabingwa Ulaya. Mabao mengine ya Bayern Munich yalifungwa na Kingsley Coman dakika ya 14 na Thomas Muller dakika ya 45, wakati la Spurs lilifungwa na Ryan Sessegnon dakika ya 20. Bayern Munich imeongoza kundi kwa pointi zake 18, ikifuatiwa na Spurs pointi 10 na zote zinasonga mbele hatua ya 16 Bora PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Watch: Lille midfielder Ethan Mbappe shown red card for ugly elbow
-
Ethan Mbappé was shown a red card in Lille's Champions League match against
Real Betis on Tuesday.
2 weeks ago



.png)
0 comments:
Post a Comment