Mason Greenwood akishangilia baada ya kuifungia Manchester United mabao mawili dakika ya 58 na 64 katika ushindi wa 4-0 dhidi ya AZ Alkmaar kwenye mchezo wa Kundi L UEFA Europa League usku huu Uwanja wa Old Trafford. Mabao mengine ya Man United yamefungwa naAshley Young dakika ya 53 na Juan Mata dakika ya 62 kwa penalti PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Watch: Lille midfielder Ethan Mbappe shown red card for ugly elbow
-
Ethan Mbappé was shown a red card in Lille's Champions League match against
Real Betis on Tuesday.
2 weeks ago



.png)
0 comments:
Post a Comment