Wachezaji wa Chelsea wakipongezana baada ya ushindi wa 2-1 dhidi ya Aston Villa kwenye mchezo wa Ligi Kuu ya England jana Uwanja wa Stamford Bridge Jijini London wakitoka kufungwa mfululizo na Manchester City and West Ham. Mabao ya Chelsea yalfungwa na Tammy Abraham dakika ya 24 na Mason Mount dakika ya 48, wakati la Villa lilifungwa na Mahmoud Hassan 'Trezeguet' PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Messi to receive honorary doctorate ahead of Argentina farewell
-
Lionel Messi is set to receive an honorary doctorate from the University of
Buenos Aires (UBA) in recognition of his illustrious football career and
cont...
1 hour ago



.png)
0 comments:
Post a Comment