Wachezaji wa Arsenal wakirejea katikati kinyonge baada ya kuruhusu bao wakichapwa 2-1 na Brighton & Hove Albion kwenye mchezo wa Ligi Kuu ya England usiku wa jana Uwanja wa Emirates, London. Mabao ya Brighton yalifungwa na Adam Webster dakika ya 36 na Neal Maupay dakika ya 80, wakati la Arsenal lilifungwa na Alexandre Lacazette dakika ya 50 PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Independence Day: Ajadi urges Nigerians to keep faith in Nigeria
-
The Allied Peoples Movement (APM) senatorial candidate for Oyo Central
Senatorial District, Ambassador Olufemi Ajadi Oguntoyinbo, has felicitated
with Ni...
1 hour ago



.png)
0 comments:
Post a Comment