Beki wa kati, Samuel Umtiti akishangilia baada ya kuifungia bao la pili Barcelona dakika ya 51 ikiilaza Valencia 2-1 leo katika mchezo wa La Liga Uwanja wa Camp Nou. Bao la kwanza la Barca limefungwa na Luis Suarez dakika ya 15, kabla ya Dani Parejo kuifungia Valencia kwa penalti dakika ya 87 PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Watch: Lille midfielder Ethan Mbappe shown red card for ugly elbow
-
Ethan Mbappé was shown a red card in Lille's Champions League match against
Real Betis on Tuesday.
2 weeks ago



.png)
0 comments:
Post a Comment