Mshambuliaji mwenye umri wa miaka 21, Mbrazil Gabriel Jesus akishangilia baada ya kuifungia Manchester City bao la kwanza dakika ya 22 katika ushindi wa 3-1 dhidi ya Tottenham Hotspur leo kwenye mchezo wa Ligi Kuu ya England Uwanja wa Wembley mjini London, leo. Mabao mengine ya Man City yamefungwa na Ilkay Gundogan dakika ya 25 kwa penalti na Raheem Sterling dakika ya 72, huku la Spurs likifungwa na Cristian Eriksen dakika ya 42 PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Watch: Lille midfielder Ethan Mbappe shown red card for ugly elbow
-
Ethan Mbappé was shown a red card in Lille's Champions League match against
Real Betis on Tuesday.
2 weeks ago



.png)
0 comments:
Post a Comment