Mashabiki wa Simba SC wakipiga saluti kufurahia ushindi wa timu yao wa mabao 2-0 dhidi ya Tanzania Prisons katika mchezo wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara leo Uwanja wa Taifa mjini Dar es Salaam
Ilikuwa saluti maalum kuwabeza Tanzania Prisons, ambayo ni timu ya Jeshi la Magereza nchini
Shabiki maarufu wa Simba, Naima Salum (kushoto) ambaye pia ni msanii mwigizaji na mpenzi wa zamani wa kipa wa zamani wa Simba, Peter Manyika sasa anadakia Singida United akiwa na rafiki yake
Mashabiki wa Simba SC wakiendeleza furaha yao leo
Hawa nao walibeba bango lililoandikwa Maharage ya Mbeya Maji Mara Moja, kuibeza timu kutoka Mbeya
Mashabiki hawa wengine wakiendeleza furaha yao kwa namna yao
Watch: Lille midfielder Ethan Mbappe shown red card for ugly elbow
-
Ethan Mbappé was shown a red card in Lille's Champions League match against
Real Betis on Tuesday.
2 weeks ago


.png)
0 comments:
Post a Comment