Bondia Muingereza Amir Khan (kushoto) akimtazama mpinzani wake, Mcanada Phil Lo Greco aliyeanguka chini (kulia) na kushindwa kuendelea na pambano la uzito wa Super Welter sekunde ya 40 ukumbi wa Echo Arena Jijini Liverpool usiku wa Jumamosi, hiyo ikiwa mara ya pili baada ya awali kuanguka sekunde ya 18 na kuinuka kuendelea. Khan alikuwa anapigana tena baada ya kusimama kwa takriban miaka miwili PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Watch: Lille midfielder Ethan Mbappe shown red card for ugly elbow
-
Ethan Mbappé was shown a red card in Lille's Champions League match against
Real Betis on Tuesday.
2 weeks ago



.png)
0 comments:
Post a Comment