Thomas Muller akishangilia baada ya kufunga mabao matatu peke yake dakika za 52, 64 na 78 katika ushindi wa 6-2 wa Bayern Munich dhidi ya Bayer Leverkusen kwenye mchezo wa Nusu Fainali ya Kombe la Ujerumani usiku wa Jumanne Uwanja wa BayArena mjini Leverkusen. Mabao mengine ya Bayern Munich yamefungwa na Robert Lewandowski dakika ya tatu na sita na Thiago Alcântara dakika ya 61, wakati ya Bayer Leverkusen yamefungwa na Lars Bender dakika ya 16 na Leon Bailey dakika ya 72 PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Watch: Lille midfielder Ethan Mbappe shown red card for ugly elbow
-
Ethan Mbappé was shown a red card in Lille's Champions League match against
Real Betis on Tuesday.
2 weeks ago



.png)
0 comments:
Post a Comment