Mohamed Salah akiinua mpira kumtungua kipa wa West Bromwich Albion, Ben Foster kuifungia Liverpool bao la pili dakika ya 72 katika sare ya 2-2 kwenye mchezo wa Ligi Kuu ya England leo Uwanja wa The Hawthorns, West Bromwich. Danny Ings alianza kuifungia Liverpool dakika ya nne, lakini West Brom ikazinduka na kusawazisha kupitia kwa Jake Livermore dakika ya 79 na Salomon Rondon dakika ya 88 PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Watch: Lille midfielder Ethan Mbappe shown red card for ugly elbow
-
Ethan Mbappé was shown a red card in Lille's Champions League match against
Real Betis on Tuesday.
2 weeks ago



.png)
0 comments:
Post a Comment