Matt Ritchie (katikati) akishangilia baada ya kuifungia bao la ushindi Newcastle United dakika ya 68 ikitoka nyuma na kushinda 2-1 dhidi ya Arsenal Uwanja wa St James' Park katika mchezo wa Ligi Kuu ya England. Arsenal ilitangulia kwa bao la Mfaransa, Alexandre Lacazette dakika ya 14, kabla ya Ayoze Perez kuisawazishia Newcastle dakika ya 29 PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Watch: Lille midfielder Ethan Mbappe shown red card for ugly elbow
-
Ethan Mbappé was shown a red card in Lille's Champions League match against
Real Betis on Tuesday.
2 weeks ago



.png)
0 comments:
Post a Comment