Isco akipiga shuti la mpira wa adhabu kuipatia bao la kwanza Real Madrid dakika ya 29 katika ushindi wa 2-1 kwenye mchezo wa La Liga dhidi ya wenyeji, Malaga Uwanja wa La Rosaleda usiku wa jana. Bao la pili la Real Madrid iliyomkosa nyota wake, Cristiano Ronaldo jana, lilifungwa na Casemiro dakika ya 63 wakati la Malaga lilifungwa na Diego Rolandakika ya 90 na ushei PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Watch: Lille midfielder Ethan Mbappe shown red card for ugly elbow
-
Ethan Mbappé was shown a red card in Lille's Champions League match against
Real Betis on Tuesday.
2 weeks ago



.png)
0 comments:
Post a Comment