Shane Duffy (kushoto) wa Brighton & Hove Albion akiwa juu kuwania mpira na Harry Kane wa Tottenham Hotspur katika mchezo wa Ligi Kuu ya England usiku wa Jumanne Uwanja wa The AMEX, Falmer, East Sussexnd timu hizo zikitoka sare ya 1-1. Kane alianza kuifungia Spurs dakika ya 48 kabla ya Pascal Gross kuwasawazishia wenyeji kwa penalti dakika ya 50 PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Watch: Lille midfielder Ethan Mbappe shown red card for ugly elbow
-
Ethan Mbappé was shown a red card in Lille's Champions League match against
Real Betis on Tuesday.
2 weeks ago



.png)
0 comments:
Post a Comment