Mshambuliaji Mmisri, Mohamed Salah akifuua shuti jirani na lango la Stoke City lakini likaenda juu katika mchezo wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara leo Uwanja wa Anfield timu hizo zikitoka sare ya 0-0. Danny Ings pia alifunga bao ambao lilikataliwa akiambiwa alikuwa anezidi na Liverpool wakalalamikia kunyimwa penalti baada ya Erik Pieters kushika kwa mkono mpira wa krosi ya Georginio Wijnaldum PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Watch: Lille midfielder Ethan Mbappe shown red card for ugly elbow
-
Ethan Mbappé was shown a red card in Lille's Champions League match against
Real Betis on Tuesday.
2 weeks ago



.png)
0 comments:
Post a Comment