Wachezaji wa Manchester United wakiwa wanyonge baada ya bao pekee la Jay Rodriguez dakika ya 73 ambalo limeipa ushindi wa 1-0 West Bromwich Albion leo katika mchezo wa Ligi Kuu ya England Uwanja wa Old Trafford, hivyo kuwafanya Manchester City wathibitishwe kuwa mabingwa wapya baada ya matokeo hayo PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Watch: Lille midfielder Ethan Mbappe shown red card for ugly elbow
-
Ethan Mbappé was shown a red card in Lille's Champions League match against
Real Betis on Tuesday.
2 weeks ago



.png)
0 comments:
Post a Comment