Olivier Giroud akishangilia baada ya kuifungia bao la tatu na la ushindi Chelsea dakika ya 78 ikitoka nyuma kwa 2-0 na kushinda 3-2 dhidi ya wenyeji, Southampton leo Uwanja wa St. Mary's katika mchezo wa Ligi Kuu ya England. Giroud pia alifunga bao la kwanza Chelsea dakika ya 70, kabla ya Eden Hazard kufunga la pili dakika ya 75, wakati mabao ya Watakatifu yalifungwa na Dusan Tadic dakika ya 21 na Jan Bednarek dakika ya 60 PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Watch: Lille midfielder Ethan Mbappe shown red card for ugly elbow
-
Ethan Mbappé was shown a red card in Lille's Champions League match against
Real Betis on Tuesday.
2 weeks ago



.png)
0 comments:
Post a Comment