Wachezaji wa Barcelona wakifurahia na taji lao la Kombe la Mfalme, maarufu kama Copa del Rey baada ya ushindi wa 5-0 dhidi ya Sevilla kwenye fainali Uwanja wa Wanda Metropolitano mjini Madrid usiku wa Jumamosi. Mabao ya Barca wakitwaa taji la nne mfululizo la michuano hiyo yamefungwa na Luis Suarez mawili dakika za 14 na 40, Lionel Messi dakika ya 31, Andres Iniesta dakika ya 52 na Philippe Coutinho dakika ya 69 kwa penalti PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Watch: Lille midfielder Ethan Mbappe shown red card for ugly elbow
-
Ethan Mbappé was shown a red card in Lille's Champions League match against
Real Betis on Tuesday.
2 weeks ago



.png)
0 comments:
Post a Comment