Nyota wa Misri, Mohamed Salah akishangilia mbele ya mashabiki wa Liverpool baada ya kuifungia timu hiyo bao la pili dakika ya 69 katika ushindi wa 3-0 dhidi ya AFC Bournemouth leo kwenye mchezo wa Ligi Kuu ya England Uwanja wa Anfield. Mabao mengine yamefungwa na Msenegali Sadio Mane dakika ya saba na Mbrazil, Roberto Firmino dakika ya 90 PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Watch: Lille midfielder Ethan Mbappe shown red card for ugly elbow
-
Ethan Mbappé was shown a red card in Lille's Champions League match against
Real Betis on Tuesday.
2 weeks ago



.png)
0 comments:
Post a Comment