Wachezaji wa Ufaransa wakiongozwa na Nahodha wao, kipa Hugo Lloris kushangilia jana baada ya ushindi wa 2-1 dhidi ya Belarus kwenye mchezo wa Kundi A kufuzu Kombe la Dunia Uwanja wa Stade de France mjini Paris. Mabao ya Ufaransa ambayo inafanikiwa kukata tiketi ya kwenda Urusi mwakani yalifungwa na Antoine Griezmann dakika ya 27 na Olivier Giroud dakika ya 33 PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Watch: Lille midfielder Ethan Mbappe shown red card for ugly elbow
-
Ethan Mbappé was shown a red card in Lille's Champions League match against
Real Betis on Tuesday.
2 weeks ago



.png)
0 comments:
Post a Comment