Mchezaji Bora wa Mechi, Leroy Sane akishangilia baada ya kuifungia Manchester City bao la kwanza dakika ya 10 katika ushindi wa 3-2 dhidi ya wenyeji, West Brom kwenye mchezo wa Ligi Kuu ya England leo Uwanja wa The Hawthorns. Mabao mengine ya Man City yamefungwa na Fernandinho dakika ya 14 na Raheem Sterling dakika ya 64, wakati ya West Brom yamefungwa na Jay Rodriguez dakika ya 13 na Matt Phillips dakika ya 90 na ushei PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Watch: Lille midfielder Ethan Mbappe shown red card for ugly elbow
-
Ethan Mbappé was shown a red card in Lille's Champions League match against
Real Betis on Tuesday.
2 weeks ago



.png)
0 comments:
Post a Comment