MZEE DALALI ALIVYOITAZAMA SIMBA KUELEKEA MECHI NA YANGA
Mwenyekiti wa zamani wa Simba, Hassan Dalali (mwenye baraghashi) akifuatilia mchezo wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara baina ya timu yake na Njombe Mji Jumamosi Uwanja wa Uhuru, Dar es Salaam. Simba ilishinda 4-0 na mchezo ujao itamenyana na mahasimu, Yanga hapo hapo Uhuru
0 comments:
Post a Comment