Kipa Claudio Bravo akifurahia kishujaa baada ya kuokoa penalti za Alfred N'Diaye na Conor Coady kuiwezesha Manchester City kushinda kwa penalti 4-1 usiku wa jana Uwanja wa Etihad baada ya sare ya 0-0 na Wolves katika mchezo wa Raundi ya Nne ya Kombe la Carabao Cup, hivyo kwenda Robo Fainali. Penalti za City zilifungwa na Kevin De Bruyne, Yaya Toure na Leroy Sane, wakati ya Wolves ilifungwa na Leo Bonatini PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Watch: Lille midfielder Ethan Mbappe shown red card for ugly elbow
-
Ethan Mbappé was shown a red card in Lille's Champions League match against
Real Betis on Tuesday.
2 weeks ago



.png)
0 comments:
Post a Comment