Mshambuliaji Jamie Vardy (kushoto) akiifungia Leicester City bao la kwanza dakika ya 18 katika ushindi wa 2-0 dhidi ya Everton kwenye mchezo wa Ligi Kuu ya England leo Uwanja wa King Power. Bao la pili la Leicester Jonjoe Kenny alijifunga dakika ya 29 PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Watch: Lille midfielder Ethan Mbappe shown red card for ugly elbow
-
Ethan Mbappé was shown a red card in Lille's Champions League match against
Real Betis on Tuesday.
2 weeks ago



.png)
0 comments:
Post a Comment