Nyota wa Ureno, Cristiano Ronaldo akiwa juu kupiga kichwa katika mchezo wa Kundi B kufuzu Kombe la Dunia jana dhidi ya Uswisi Uwanja wa Michezo wa Lisboa e Benfica, Luz mjini Lisboa timu yake ikishinda 2-0 na kukata tiketi ya kwenda Urusi mwakani kwa mabao ya Johan Djourou aliyejifunga dakika ya 41 na Andre Silva aliyefunga la pili dakika ya 57 PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Watch: Lille midfielder Ethan Mbappe shown red card for ugly elbow
-
Ethan Mbappé was shown a red card in Lille's Champions League match against
Real Betis on Tuesday.
3 weeks ago



.png)
0 comments:
Post a Comment