Mshambuliaji wa Manchester City, Sergio Aguero akiwa mazoezini jana Uwanja wa akademi ya klabu hiyo kujiandaa na mchezo wao wa kesho dhidi ya Stoke City Uwanja wa Etihad. Aguero amerudi mazoezini baada ya wiki mbili zilizopita kupata ajali alipokuwa anatoka kwenye tamasha la muziki mjini Amsterdam, Uholanzi na alitarajiwa kukosa mechi nyingi PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Watch: Lille midfielder Ethan Mbappe shown red card for ugly elbow
-
Ethan Mbappé was shown a red card in Lille's Champions League match against
Real Betis on Tuesday.
2 weeks ago



.png)
0 comments:
Post a Comment