
Kocha Mkuu mpya wa Azam FC, Mzambia George Lwandamina 'Chicken', akimuelekeza jambo Mtendaji Mkuu wa klabu, Abdulkarim Amin 'Popat' wakati wa mazoezi jana jioni kujiandaa na mchezo ujao wa Ligi Kuu ya Tanzania Bara dhidi ya wenyeji, Gwambina FC kesho Uwanja wa Gwambina, Misungwi mkoani Mwanza.
0 comments:
Post a Comment