BAO la dakika ya 89 la la Sam Johnstone liliwasaidia wageni, West Bromwich Albion kupata sare ya 1-1na wenyeji na mabingwa watetezi, Liverpool waliotangulia kwa bao la Sadio Mane dakika ya 12 Uwanja wa Anfield.
Kwa matokeo hayo, Liverpool inafikisha pointi 32 na kuendelea kuongoza Ligi Kuu kwa pointi tatu zaidi ya Everton baada ya wote kucheza mechi 15 PICHA ZAIDI GONGA HAPA
0 comments:
Post a Comment