Manchester City jana imelazimishwa sare ya 1-1 na West Bromwich Albion katika mchezo wa Ligi Kuu ya England jana Uwanja wa Etihad.
Ilkay Gundogan alianza kuifungia Manchester City dakika ya 30 akimalizia kazi nzuri ya Raheem Sterling, kabla ya Ruben Dias kujifunga kuisawazishia Man City dakika ya 43 PICHA ZAIDI GONGA HAPA
0 comments:
Post a Comment