• HABARI MPYA

  Thursday, November 12, 2020

  YANGA SC KUCHEZA NA AFRICAN LYON MECHI YA KIRAFIKI JUMAPILI UWANJA WA AZAM COMPLEX

   

  VIGOGO, Yanga SC Jumapili watakuwa na mchezo wa kirafiki dhidi ya African Lyon Uwanja wa Azam Complex, Chamazi nje kidogo ya Jiji la Dar es Salaam.

  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: YANGA SC KUCHEZA NA AFRICAN LYON MECHI YA KIRAFIKI JUMAPILI UWANJA WA AZAM COMPLEX Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top