• HABARI MPYA

  Thursday, November 19, 2020

  BILIONEA MO DEWJI AWAKABIDHI JEZI MPYA WABUNGE MASHABIKI WA SIMBA SC JIJINI DODOMA

  MWENYEKITI wa Bodi ya Wakurugenzi ya Simba SC, Mohammed Dewji akimkabidhi zawadi ya jezi mpya za klabu, Spika wa Bunge, Job Ndugai katika hafla ya wabunge ambao ni mashabiki wa Simba iliyofanyika usiku wa jana Jijini Dodoma. 

  Hapa Mohammed Dewji anamkabidhi zawadi ya jezi Mwenyekiti wa tawi la Simba Bungeni,  Rashid Shangazi 


  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: BILIONEA MO DEWJI AWAKABIDHI JEZI MPYA WABUNGE MASHABIKI WA SIMBA SC JIJINI DODOMA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top