KIUNGO Mghana wa Simba SC, Bernard Morrison akionyesha jezi mpya ya tatu ya klabu yake kwa ajili ya michuano ya Afrika inayotarajiwa kuanza wiki ijayo, Wekundu wa Msimbazi wakifungua dimba na Plateau United nchini Nigeria katika Ligi ya Mabingwa
Bernard Morrison akionyesha jezi mpya ya ugenini ya Simba SC kwa ajili ya Ligi ya Mabingwa
Kiungo mzawa, Hassan Dilunga akionyesha jezi mpya ya nyumbani ya Simba SC kwa ajili ya Ligi ya Mabingwa
0 comments:
Post a Comment