• HABARI MPYA

  Sunday, May 05, 2019

  ARSENAL YALAZIMISHIWA SARE 1-1 NA BRIGHTON & HOVE ALBION

  Mshambuliaji Glenn Murray akimfunga kwa mkwaju wa penalti kipa Mjerumani, Bernd Leno dakika ya 61 kuipatia Brighton & Hove Albion bao la kusawazisha katika sare ya 1-1 kufuatia Pierre-Emerick Aubameyang kuanza kuifungia Arsenal dakika ya tisa kwa penalti pia leo kwenye mchezo wa Ligi Kuu ya England Uwanja wa Emirates, London. Kwa matokeo hayo, Arsenal inafikisha pointi 67 baada ya kucheza mechi 37, ikibaki nafasi ya tano nyuma ya Tottenham Hotspur yenye pointi 70 na Chelsea pointi 71 baada ya wote kucheza mechi 37 pia 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: ARSENAL YALAZIMISHIWA SARE 1-1 NA BRIGHTON & HOVE ALBION Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top