• HABARI MPYA

  Friday, May 24, 2019

  N'GOLO KANTE YUKO FITI KUWAVAA ARSENAL FAINALI EUROPA LEAGUE

  Kiungo aliyekuwa majeruhi wa Chelsea, Mfaransa N'Golo Kante akiwatoka wachezaji wenzake Conor Gallagher na Ethan Ampadu katika mazoezi ya Chelsea jana viwanja vya Cobham kujiandaa na fainali ya UEFA Europa League dhidi ya Arsenal wiki ijayo mjini Baku nchini Azerbaijan 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: N'GOLO KANTE YUKO FITI KUWAVAA ARSENAL FAINALI EUROPA LEAGUE Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top