• HABARI MPYA

    Monday, May 20, 2019

    SAMATTA ALIVYOKABIDHIWA TUZO NA KOMBE LA UBELGIJI JANA GENK

    Mshambuliaji wa kimataifa wa Tanzania, Mbwana Samatta akiwa na tuzo yake ya Mwasoka Bora wa Afrika katika Ligi ya Ubelgiji baada ya kukabidhiwa jana kufuatia sare ya 0-0 na Standard Liege kwenye mchezo wa mwisho wa msimu Uwanja wa Luminus Arena
    Mbwana Samatta akipongezwa jana Uwanja wa Luminus Arena baada ya kupewa tuzo zake
    Mbwana Samatta akishangilia Kombe la ubingwa wa Ubelgiji baada ya kukabidhiwa jana Uwanja wa Luminus Arena
    Mbwana Samatta akishangilia Kombe la ubingwa wa Ubelgiji baada ya kukabidhiwa jana Uwanja wa Luminus Arena 
    Mbwana Samatta akishangilia na wachezaji wenzake wa KRC Genk baada ya kukabidhiwa Kombe la ubingwa wa Ubelgiji  
    Mbwana Samatta akipiga picha na rafiki yake  Uwanja wa Luminus Arena
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: SAMATTA ALIVYOKABIDHIWA TUZO NA KOMBE LA UBELGIJI JANA GENK Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top