Mshambuliaji wa kimataifa wa Gabon, Pierre-Emerick Aubameyang akifurahia baada ya kufunga hat trick kwa mabao yake ya dakika za 11, 69 na 88 ikiwalaza wenyeji, Valencia 4-2 Uwanja wa katika mchezo wa marudiano wa UEFA Europa League. Bao lingine la Arsenal lilifungwa na Alexandre Lacazette dakika ya 50 wakati ya Valencia yamefungwa na Kevin Gamiero yote dakika ya 11 na 58 na kwa matokeo hayo, The Gunners inakwenda fainali kwa ushindi wa jumla wa 7-3 baada ya kushinda 3-1 London na sasa itamenyana na Chelsea PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Saved by 'special talent' - but did penalty award wrong Brighton?
-
Charalampos Kostoulas earned Brighton a point with a stunning overhead kick
but were the Seagulls right to be angry over an earlier penalty award?
1 hour ago



.png)
0 comments:
Post a Comment