![]() |
| Wachezaji wa Twiga Stars wakiwa mazoezini hivi karibuni Dar es Salaam |
Kundi B lina timu za Cameroon, Afrika Kusini, Ghana na Misri. Upande wa wanaume, Kundi A lina timu za Kongo, Sudan, Zimbabwe na Burkina Faso, wakati Kundi B kuna Ghana, Senegal, Misri na Nigeria.
Droo hiyo imefanyika leo makao makuu ya Shirikisho la Soka Afrika (CAF) mjii Cairo, Misri, na iliongozwa na Katibu wa CAF, Hicham El Amrani aliyesaidiwa na Yosef Tesfaye Argaw, Mjumbe wa CAF na wa Kamati ya Maandalizi ya michezo hiyo ya Brazzaville 2015.



.png)
0 comments:
Post a Comment