• HABARI MPYA

    Monday, June 08, 2015

    MAN UNITED WARUDI MATAWI YA JUU, SASA NDIYO KLABU 'TAJIRI' ZAIDI DUNIANI

    KLABU ya Manchester United imezipiku Bayern Munich na Real Madrid na kurejea kileleni katika orodha ya klabu zenye thamani kubwa kwenye ulimwengu wa soka, kwa kufikisha utajiri wa dola za Kimarekani Bilioni 1.
    Licha ya kumaliza msimu mwingine bila taji, United imezipiku timu tishio Ulaya kama bidhaa yenye thamani kubwa katika soka katika The Brand Finance Football 50, kwa mujibu wa taarifa ya leo.
    Mashetani hao Wekundu kwa sasa wana thamani ya zaidi ya dola za Kimarekani Bilioni 1.2, ambayo ni karibu ya zaidi ya dola Milioni 300 zaidi ya Bayern wanaoshika nafasi ya pili. Real Madrid, Manchester City na Chelsea wamo ndani ya tano bora. 

    Manchester United imeipiku Bayern Munich na kukamata nafasi ya kwanza katika klabu zenye thamani kubwa duniani  
    ORODHA YA KLABU ZENYE THAMANI KUBWA DUNIANI
    NafasiKlabuThamani yake (katika dola ya Marekani)Nafasi ya 2014 Mabadiliko tangu 2014 (dola ya Marekani)
    1Manchester United12063467
    2Bayern Munich933136
    3Real Madrid8732104
    4Manchester City8005290
    5Chelsea7957293
    6Barcelona7734151
    7Arsenal7036198
    8Liverpool5778108
    9Paris Saint-Germain54110217
    10Tottenham Hotspur36012111
    11Juventus35013103
    12Borussia Dortmund3269-1
    13FC Schalke 0430211-12
    14AC Milan244148
    15Everton22820107
    16West Ham United2092497
    17AS Monaco202New(n/a)
    18Southampton1833086
    19Galatasaray1771736
    20Inter Milan160157
    21Aston Villa1552340
    22Newcastle1552753
    23Atletico Madrid1511924
    24Napoli1472127
    25Ajax14516-4
    26Stoke City1404165
    27Swansea135New(n/a)
    28Bayer Leverkusen1352219
    29Sunderland1343240
    30Crystal Palace133New(n/a)
    31Marseille1293338
    32Stuttgart1212819
    33Fenerbahce1203533
    34Celtic1203836
    35Roma117269
    36Wolfsburg1163425
    37West Brom1154242
    38Lyon111251
    39Valencia107298
    40Benfica1033920
    41Hamburg10318-35
    42Leicester City102New(n/a)
    43Sao Paulo954840
    44Werder Bremen8831-6
    45B Monchengladbach86New(n/a)
    46PSV Eindhoven864527
    47Sevilla81404
    48Corinthians7936-8
    49Lazio784416
    50Fiorentina76New(n/a)
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: MAN UNITED WARUDI MATAWI YA JUU, SASA NDIYO KLABU 'TAJIRI' ZAIDI DUNIANI Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top