Mwanasoka Bora wa Dunia, Cristiano Ronaldo akishangilia baada ya kuifungia hat-trick Real Madrid katika ushindi wa 4-1 dhidi ya Espanyol leo Uwanja wa Power8 katika mchezo wa La Liga jioni ya leo. Bao lingine la Real lilifungwa na Marcelo, wakati la kufutia machozi la wenyeji lilifungwa na Stuani. PICHA ZAIDI GONGA HAPA


.png)
0 comments:
Post a Comment