Kiungo wa Remo, Ratinho mwenye umri wa miaka 35wakati wa mchezo wa Kombe la Brazil, wakitoa sare ya 1-1 na Atletico RR. Mnyoo wa mchezaji huyo ulikuwa kivutio katika mchezo huo.
Timu ya Ratinho ilisawazisha bao kupitia kwa Igor Joao dakika ya 76 kupata sare ya 1-1
PICHA ZAIDI NENDA: http://www.dailymail.co.uk/sport/football/article-3024327/Brazilian-player-Ratinho-shaves-classic-football-pattern-head.html#ixzz3WFRjnVA5


.png)
0 comments:
Post a Comment