• HABARI MPYA

    Friday, April 03, 2015

    AJALI SIMBA SC, UKAWA TISA WAHOFIWA KUPOTEZA MAISHA

    Gari lililokuwa limebeba wanachama wa Simba SC maarufu Simba Ukawa, ambao wanadaiwa kuwa wapinzani wa uongozi uliopo madarakani chini ya Rais, Evans Aveva wakiwa njiani imepata ajali eneo la Morogoro kuelekea Shinyanga ambako timu yao kesho inamenyana na Kagera Sugar katika Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara. Taarifa za awali zinasema watu tisa wamepoteza maisha maisha katika ajali hiyo. 

    Wanachama wa Simba SC wakiwa wenye majonzi ajalini
    Askari wa jeshi la Polisi kitengo cha usalama barabarani, akichukua taarifa za ajali  

    Gari lililopata ajali baada ya kuinuliwa 

    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: AJALI SIMBA SC, UKAWA TISA WAHOFIWA KUPOTEZA MAISHA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top